katika makabila ya Tanzania, warangi na wanyaturu, wambulu, wamakonde wa Mtwara, wamatumbi, wote hao nishawaona na alama za 'urembo' kwenye miili yao.
ndio maana nikauliza, Utajali kama mkeo ana 'tattoo' au chale, (ambazo pia zina ujumbe maalum) ?!