Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,970
- 13,427
Kuna jamaa alichora tattoo ya neno ADIDAS ktk uume wake ili akamuoneshe demu wake mpya,walipofika nyumbani wakavua nguo,jamaa akamsuprise kwa kumuonesha demu wake tattoo hiyo lkn kwa kuwa uume ulikuwa haujasimama yule demu hakufanikiwa kusoma neno lote la ADIDAS alifanikiwa kuona neno AIDS,akavaa nguo zake kwa kuogopa Aids