Tatoo zinatisha jamani part 2

DU,Huyo mwanamke mwenye mashavu ya embe dodo,anatisha sana!
 


huyu babu kafanya tatoo ka chupi na anaona poa tu.
hapa anatoka kuhemea
.
 
He he he pata picha we ni mzazi alafu huyo jamaa kwenye picha ya kwanza anakuja kumposa binti yako
 
dr chichi i like that.mbaya zaidi na binti ana mimba ya jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…