Mbona havifanani na picha anayeikopi. Huyu mchoraji anatafuta balaa. hapo inaelekea moto uliwaka.
Tulitiana ujinga na mpenzi wangu eti tukachore tatoo kwenye ma.kalio yetu yaani mi niandike jina lake na yeye aandike jina langu KISA ETI TRUE LOVE unajua kilitokea nini mbeleni...?
Duuuh namchapa makofi ya nguvu....kumchora mwenzie katuni za nursery ndo nini?
aisee ningependa kujua hatma ya hii story au unaogopa kuitoa hadharani, pia ningependa kujua pia mlichora nini?
yeh i can guess. you part??Tuliishi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu tukaanza maugomvi ya wivu wakati yeye akiwa chuo ujue ilitokea nini....?
yeh i can guess. you part??
You made my day.