Lols Jirani spare my ribs please!!
hapo ni issue....manake si rahisi kuamini kuwa wife ataweza kumsahau jamaa...ameweka signature kuwa she belongs to the other guy. hiyo ngumu kumeza
Wewe sijui nikuelezeje.....mwanamume ni very delicate linapokuja suala la kujipambanisha na mwanamume mwenzake. Hii constant reminder ni sawa kabisa na death sentence....hukawii kusikia jamaa kaamua kumaliza ubishi kwa kutumia kamba!
Haya mambo yaache hivi hivi...
hiyo ngumu kumeza aisee, bora ingekuwa tatoo tu, bali ni tatuu ya x, yaan inapoteza hamu yooote, acha kabisaKwani ulimkuta bikira? hizo ndo gharama za kuoa aliyetumika.....kama unampenda kweli tatoo hiyo utaona kama kidoa tu.....upendo hufunika wingi wa dhambi.
Sijui alikaa mkao gani akichorwa?
Duh kwaiyo ndan ya mwaka mzima ndio unaiona jana?
Kwani ulimkuta bikira? hizo ndo gharama za kuoa aliyetumika.....kama unampenda kweli tatoo hiyo utaona kama kidoa tu.....upendo hufunika wingi wa dhambi.