realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 139
Kwani ulimkuta bikira? hizo ndo gharama za kuoa aliyetumika.....kama unampenda kweli tatoo hiyo utaona kama kidoa tu.....upendo hufunika wingi wa dhambi.
mkuu nakushukuru sana nimependa hizo bolded words!
mi mke wangu nimemchora tatoo za maneno ya kutisha sana kuzunguka ---- kama vile ingiza ufe ,ukiingiza utakua kafara wa 60 kufa na mafuvu mengi sana
Tattaoo ya ex wa wife wako?? Sijaelewa bado
mi mke wangu nimemchora tatoo za maneno ya kutisha sana kuzunguka ---- kama vile ingiza ufe ,ukiingiza utakua kafara wa 60 kufa na mafuvu mengi sana
Waungwana habari ya mchana?
Naomba ushauri nina mwaka sasa katika ndoa jana katika kugegeda nimeona tatoo ya ex wake wife imejificha sana chini ya ---- kumuuliza amekua mkali inanipa ugumu sana jamani.