A
Halafu waarabu wa jangwani Dubai wakipewa mkataba wa kuja kuendeleza misitu huku kwetu tusiwe tunalalamika. We can't do shit! Yaani sisi mbali na ufisadi hatuwezi kufanya cho chote kwa ufanisi na weledi. None! Zero! Nada! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎPale Kigongo ferry ziwani kabsa na hawana maji, ๐๐๐๐nacheka kwa huzuni