K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,765 Reaction score 15,465 Jul 18, 2025 #1 Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,714 Reaction score 56,020 Jul 18, 2025 #2 Mifumo bora inasimamiwa na watu
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,418 Jul 18, 2025 #3 kwa wahuni wanatoka wapi.Wakati ukijua hawa wahuni wapo kwenye kundi la watu