K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,293 Reaction score 13,957 Jul 18, 2025 #1 Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 29,138 Reaction score 51,785 Jul 18, 2025 #2 Mifumo bora inasimamiwa na watu
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,136 Reaction score 33,544 Jul 18, 2025 #3 kwa wahuni wanatoka wapi.Wakati ukijua hawa wahuni wapo kwenye kundi la watu