Tatizo nyota...

Acha kutuaminisha mambo ya kiganga haya katika mahusiano...
 
Ukweli wa yote kaushika Mungu pekee mwanadamu hana elimu ya kujua mambo yanayohusu destiny yake..hajui lolote kuhusu kuimaliza Leo achilia mbali kesho
 
Na sisi tusio na nyota tunafanyaje sasa maana Mimi nina ngao tu
 
Achana na imani za manyota hzo mtegemee mungu
Utaalamu wa nyota unatambulika na MUNGU mkuu, unaweza ona kipindi kile Yesu alipozaliwa wale wasoma nyota walivyokua wanafata muelekeo wa ile nyota iliokua inaonyesha sehemu alipozaliwa Yesu.
Ngoja wataalamu wakufafanulie Zaidi.
 
Mtaalamu, Gemini na cancer tunaendana?
Kwa experience yangu ndogo hamuendani, Cancerian anaongozwa sana na hisia wakati Gemini anapenda kutumia akili zaidi. Gemini(mapacha) mara nyingi anakuwa na double life anaweza kumuonesha Cancerian side A(ambayo inamfanya cancerian kuwa comfortable enough to fall in love kwa huyo gemini) na kumficha side B yake, cancerian akijua hiyo side B ya huyo gemini ndo basi tena penzi limeisha. Cancerian angependa ku mcontrol gemini wake lakin gemini anapenda kuwa huru.
 
Koh koh procedure za kuomba talaka ni zipi teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…