D Daddi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 890 Reaction score 1,402 Sep 7, 2020 #41 Pizy said: Hapo naweza sema Kuna baadh wanawake wanatumia mbinu ya kukusaliti ili wapime una upendo kiasi gan kwake au una mjali kwa kiasi gn. Click to expand... [emoji1787][emoji1787]
Pizy said: Hapo naweza sema Kuna baadh wanawake wanatumia mbinu ya kukusaliti ili wapime una upendo kiasi gan kwake au una mjali kwa kiasi gn. Click to expand... [emoji1787][emoji1787]
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,789 Reaction score 51,557 Sep 7, 2020 #42 sjosh4 said: Mada ni vijana kulialia tu kila siku, wapunguzieni dozi kidogo Click to expand... Hafu sjosh4 bhana...ushasema vijana na uzee wote huu kweli nianze kukimbizana na vijana😄😄..no
sjosh4 said: Mada ni vijana kulialia tu kila siku, wapunguzieni dozi kidogo Click to expand... Hafu sjosh4 bhana...ushasema vijana na uzee wote huu kweli nianze kukimbizana na vijana😄😄..no
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 9,039 Reaction score 18,751 Sep 7, 2020 #43 Pili ajifunze uandishi asichanganye herufi. Qurie said: Kwanza acha zinaaa kuwa karibu na muumba wako Click to expand...
Pili ajifunze uandishi asichanganye herufi. Qurie said: Kwanza acha zinaaa kuwa karibu na muumba wako Click to expand...
P Pizy Member Joined Aug 8, 2020 Posts 98 Reaction score 57 Sep 7, 2020 Thread starter #44 Misako said: Tengeneza maisha, hisia zitakuja tu na Kuna mtu utampenda tu baada ya kuwa vizuri kimaisha. Click to expand... Nashukuru kwa ushauri.
Misako said: Tengeneza maisha, hisia zitakuja tu na Kuna mtu utampenda tu baada ya kuwa vizuri kimaisha. Click to expand... Nashukuru kwa ushauri.
P Pizy Member Joined Aug 8, 2020 Posts 98 Reaction score 57 Sep 7, 2020 Thread starter #45 feyzal said: Pili ajifunze uandishi asichanganye herufi. Click to expand... Sawa kiongozi, ni stress tu zinazonichanganya...
feyzal said: Pili ajifunze uandishi asichanganye herufi. Click to expand... Sawa kiongozi, ni stress tu zinazonichanganya...
P Pizy Member Joined Aug 8, 2020 Posts 98 Reaction score 57 Sep 7, 2020 Thread starter #46 Kimbioko said: Tatizo kuna mtu unampenda zaidi ya mademu wote ua a true and legendary puli master. Click to expand... Hilo nalo neno, umenikumbusha Kuna kimanzi fulani nilikutana nacho enzi za A-level dah ! ... Hila kuhusu chaputa mi sio muumini kabisa.
Kimbioko said: Tatizo kuna mtu unampenda zaidi ya mademu wote ua a true and legendary puli master. Click to expand... Hilo nalo neno, umenikumbusha Kuna kimanzi fulani nilikutana nacho enzi za A-level dah ! ... Hila kuhusu chaputa mi sio muumini kabisa.