Tatizo ni Upendo kupungua

Tatizo ni Upendo kupungua

Nipende kwakua unanipenda,usinipende kwakua mimi ninakupenda. Hapo halitakuwepo pendo.. Napenda unipende kwau moyo wako umeona nafaa kupendwa nawe. Usinipende kwakunionea huruma hisia zangu🙄🙄
That's what I deserve
That the point upendo usiwe na tarajio la kitu fulani upendo uwe na sababu zako siyo za upande wa pili
 
Tatizo watu ni wabishi.

Kuna wanapuuzi kisa wana vihela vya nyanya , basi wanadhan ndio UTEMI kwamba sasa Mwanamke atamuabudu
Mbona ndio wanaolia kwamba nimemgharamia lakini bado amechapwa hahaha kuna thread nimesoma eti amemkuta mwanamke juu ya kitanda alichonunua lak saba na mwanaume mwingine upendo sio vitu, ukiwekeza kwenye vitu lazima uliwe vitu
 
Siku hiz mapenzi yananoga pale mnapo-date tu ila mkioana ndipo mnaua mapenzi yenu. Nani anabisha anyooshe kidole.
Ndio tunapokwama hapo ilitakiwa ukioa ndo yanoge zaidi
 
Tafuta fedha acha kulialia!
Fedha ninazo mkuu, ninachokuambia ukifikiri fedha ndio suluhisho utakuja kujitwanga risasi ukimuacha mwanamke akiendelea kuliwa na wengine hapo ndo tutakaposema umekufa kizembe
 
Mimi bado nalia na wanaume wenzangu..tu ......jaman wanawake wa sasa washakua majeuri na dawa ya jeuri ni kiburi na sio hizo ngonjera zenu mnazo Imbiana humu. Mnapoteza muda na rasilimali zenu kwa watu wasio watakia mema kwa jina la mapenzi sijui real love . Acheni ubwage amkeni na tuishi kama hakuna wanawake duniani uone watakavyo hahaha hawa viumbe ukiwapotezea ndio utawafaidi Ila endeleeni kujifanya maromantiki sijui majontromeni shenzi zenu mtalia hadi mjinyeee
 
Fedha ninazo mkuu, ninachokuambia ukifikiri fedha ndio suluhisho utakuja kujitwanga risasi ukimuacha mwanamke akiendelea kuliwa na wengine hapo ndo tutakaposema umekufa kizembe

Ni ubwege kulialia kwa ajili ya mwanamke mmoja na huku ukiamini hawa viumbe wapo bwelele kuliko wanaume!
 
Mimi bado nalia na wanaume wenzangu..tu ......jaman wanawake wa sasa washakua majeuri na dawa ya jeuri ni kiburi na sio hizo ngonjera zenu mnazo Imbiana humu. Mnapoteza muda na rasilimali zenu kwa watu wasio watakia mema kwa jina la mapenzi sijui real love . Acheni ubwage amkeni na tuishi kama hakuna wanawake duniani uone watakavyo hahaha hawa viumbe ukiwapotezea ndio utawafaidi Ila endeleeni kujifanya maromantiki sijui majontromeni shenzi zenu mtalia hadi mjinyeee
Kwa bahati mbaya huwezi kuishi bila viumbe hawa maisha yakabalance
Ni ubwege kulialia kwa ajili ya mwanamke mmoja na huku ukiamini hawa viumbe wapo bwelele kuliko wanaume!
Hahahahahahahah
 
Back
Top Bottom