Tatizo ni Ufinyo wa Bajeti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo ni Ufinyo wa Bajeti!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JACADUOGO2., Jul 29, 2011.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kila swali analoulizwa Naibu waziri wa Mambo ya ndani jibu lake ni Ufinyu wa Bajeti! Je, hii hali maana yake ni nini na hii hali itaendelea mpaka lini?
   
Loading...