VanDon
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 475
- 813
Kuna siku niliongozana na mdada, kufika mahali tukamkuta mama mtu mzima tu kiumri amepiga hatua kidogo.
Yule dada niliyekuwa naye akamsalimia (Shikamoo) bi mkubwa akaitikia vizuri tu.
Mimi pia nikamsalimia, ila salamu yangu hakuitikia! Akaniuliza tu umeshindaje?
Au wamama wa mjini hawataki kuzeeka!
Tatizo ni nini, sijui! 🤔