Wiper incharge
Member
- May 10, 2017
- 5
- 0
Nimemuoa Mwanamke Aliye Na Mtoto Wa Miaka 8, Dogo Ameleta Shida Ana Kiburi Hadi Ukimuongelesha Analia Tu Ovyo Kila Mara...,ukimtuma Haendi Nikiuliza Naambiwa Eti Ni Mtoto Mchanga...Nmechanganyikiwa Nashindwa Kuelewa Nimuache Mke Au Nifanyeje, Naitaji Msaada Wenu Wakuu