Tatizo ni bodi ya mikopo au vyuo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo ni bodi ya mikopo au vyuo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DOTTO MUNGO, Mar 12, 2012.

 1. D

  DOTTO MUNGO Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha kuona kuwa tunaanza semista ya pili wiki ya pili sasa (udom) bila kuwa na chochote katika akaunti zetu kwa wale tunaoitegemea serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Wanachuo wengi wanageuka kuwa ombaomba kwa ndugu, jamaa na marafiki huku idadi kubwa ikihaha kupata walau mikopo kutoka sehemu yoyote ili kuendelea na masomo wakati wakisubiri bodi kuwajaza mikwanja kwenye akaunti zao. Tatizo ni nini jamani?
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Tatizo nini? fuatilia na uchukue hatua woga wenu hautawasaidia
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni bodi ya mikopo inayoendesha shughuri zake kama kikosi cha kufyatua mizinga. no utaratibu. kila mmoja pale bodi anajoina bosi,kila mmoja anatoa utaratibu wake. mimi wamezilamba hela zangu za research nawavutia muda nimfikishe executive director mahakamani. dai haki yako usiombe, sijasema muandamane, wa taarifa za kiintellejensia watawa-songea
   
 4. G

  GHANI JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  UDOM UdOm Udom udom mtaendelea kudanganywa na hayo majengo mpaka mwisho wa dunia, nasikia mkiwa kwenye hayo majengo mnacheka-cheka tuu, daini boom lenu, someni kwa bidii wadogo zangu.
   
 5. D

  DOTTO MUNGO Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pouwa bana, lakini ni ngumu kwa sasa kudai haki kwani hatuna uongozi wa kutetea madent bali ........@Ghani
   
 6. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  mpaka uchaguzi Arumeru uishe ndo mtapewa hilo 'bomu' lenu
   
 7. m

  massau Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  komaen achen uwoga,mbona sua huwa hawaandaman lakin pesa yao inaingia mapema
   
Loading...