MSAADA mkuu, kuna VIRUSI flan wameingia kwenye system yangu ya PC wana badilisha program zote zinakua Zero byte, Wanasumbua sana mana Wanakula program zote zilizopo kwenye computer. Nawezaje kuwatoa?

Huyo ni kama shortcut virus na Jins ya kuwatoa kama ameshaingia kwenye system ni ngumu sana kuscan na kumuondoa, na pia akishafikia hapo ujue kaizid nguvu antivirus ulokuwa nayo kwaiyo cha kufanya fanya backups ya vitu vyako kisha fanya clean installation ya windows
Tecno K9 ilifanyiwa reset sasa kila nikitaka kuiwasha inadai google acc ile ya mwanzo na hii simu ilinunuliwa mkono kwa mtu so alikuwa akitumia google acc ya jamaa aliyemuuzia.
Mkuu laptop yangu inafeli aina ya getway imekuwa nzito sana yaani saana natumia windows 7 basic inaram 1 gb halafu kwa chini inapata moto kinooma nataka iwe nyepesi tuu ili niingize autocad na kazi nayo nifanyeje??!