Kwako kamanda Pirate, Nina Laptop yangu model HP yenye Processor ya 1Ghz, Ram ya 4 GB (2.99 GB Usable),System type 32-Bit, inafanya kazi slow saana mpaka inakera, Window 8 Pro
Unadhani tatizo linaweza kuwa nini ?
Sijawahi kutumia window 7 kwani natambua inamiss vitu vingi, kuna mtu aliwanidokezea kujaribu, kwa sasa ndani ya Computer kuna window 8 na window 10, Hiyo Vista inafanyaje, ? naipataje ili niijaribu nayo ?Ulishawahi kutumia windows 7, au vista??
Muda mwingne unaweza uka-force kuweka windows kubwa kweny pc ndogo ndio maana uwa wanaweka recommendations ya windows gani uweke kwenye hiyo pc utakayokuwa nayo.
Pia kuwa slow kwa pc inawezekana ikawa tatizo la virus Kwenye system yako, so jaribu kutumia antivirus nzur ili iweze kuwatoa au fanya installation ya windows upya ili uone kama itarud kuwa fasta.
Pia check space ya hdd yako uwa kama inakarbia kujaa inakuwa slow.
Njia ya mwisho fungua pc safisha kwa kuipuliza na kufuta vumbi yote inasaidia pia.
Sijawahi kutumia window 7 kwani natambua inamiss vitu vingi, kuna mtu aliwanidokezea kujaribu, kwa sasa ndani ya Computer kuna window 8 na window 10, Hiyo Vista inafanyaje, ? naipataje ili niijaribu nayo ?
So unatumia Os mbili kwenye hiyo hp??[/QUOTE
Yes, baada ya kupata shida na hii window 8 nikaona nijaribu kubadili kwenda window 10, matokea yake window 10 nikapata haiko so friend nikaachana nayo sasa naendeea kuitumia window 8 mkuu
Sasa unashauri niitoe ipi ?, kumbuka ilianza tatizo la slow function nikiwa na hiyo window 8 ndio nikatafuta kuweka window nyingine, sio kwamba tatizo limeanza baada ya kuweka hiyo window 10At least Tumia os moja maana kwa specifications ya pc yako lazima itakuwa slow, jarbu kutumia Os moja inaweza ikakusaidia kuwa fast kidogo
HII KITU IMEGOMA PIA...... DUUUH....!!... ANOTHER OPTION PLZDaaah aiseee sorry mkuu hizi link sijajua kwann zinasumbua but kuna hii hapa em jarbu,aina haja ya kuinstall ukishadownload
https://sangams.com.np/downloads/KMSPico/FrostRose_Portable_v10.2.0.zip
Sasa unashauri niitoe ipi ?, kumbuka ilianza tatizo la slow function nikiwa na hiyo window 8 ndio nikatafuta kuweka window nyingine, sio kwamba tatizo limeanza baada ya kuweka hiyo window 10
Nimeingia kwny hyo [emoji821] {link} imeniongoza ktk ku download, then nme unzip na ku run settings bt ikaniandikia oparation failed...... Kifup haijaweza solve ttzoImegomaje yani???
Pirate, Hivi kuna madhara yeyote kuiacha laptop kwenye charger muda wote unapoitumia ?But nilikupa suggestion ya kuangalia vitu zaidi ya kimoja. Je vyote vipo sahihi?
PC yangu nikiiwasha inaanza mwanga wa njano kuwaka tatizo nini?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Pirate, Hivi kuna madhara yeyote kuiacha laptop kwenye charger muda wote unapoitumia ?