Tatizo liko wapi mbona siitwi kwenye interview?

kumbe we mwaka moja,,rafiki yangu alituma kwa zaidi ya miaka 3 lakn aliambulia patupu,,mwaka juz ndyo kaitwa kwenye interviw kwenye bank moja huko mbagala na kapata kazi

usikate tamaa endelea kupambana kijana
 
Nyota baba
 
Hebu anza kwa kuomba hiyo barua ya rafiki yako na ulinganishe na ya kwako. Vitu gani vimezidi au vimepungua kwako. Usifanye hivyo kwa ushindani bali kujifunza kutoka kwake.
 
Anza mipango ya kujiajiri mkuu ajira asaivi hakuna utasubiri mpaka lini au unasubiri gari na nyumba uje umiriki baada yakustaafu kazi....
 
Muda unaokuja ni muda wa pressure sana maana AJIRA zikitangazwa zitakuwa za kugombania kama nn! Sasa ukilinganiaha na ww unahofu kutokuitwa kwenye usaili sasa ndo utaona kama kwamba ynamkosi kumbe hata sio, hebu jiamn na Fanya kile unachokiamn,

Utaitwa sana kwenye interview ila pia kuna namna kujibu maswal kwenye interview! Nayo itabd utafte Uzi unaoelezea namna kujibu maswali!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…