Tatizo liko wapi kumuoa msichana aliye Bikra?

Tatizo liko wapi kumuoa msichana aliye Bikra?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Nimeuliza swali hili sababu ya jambo ambalo ameniambia mchumba wangu kuhusu rafiki yake aliyepotoze mahusiano yake sababu ni bikira. Kijana alimuomba rafiki yake wa sex. Binti alimuambia kwamba yawapasa wasubiri mpaka usiku wa harusi yao. Jambo lakushangaza kijana akamwambia awezi kumuoa bikira.

Je ni kosa kwa wasichana kujichunga wao wenyewe mpaka siku ya ndoa?


Lipi la Maana? Kumuoa msichana ambaye amejichunga na kutoshiriki tendo la ndoa au kumuoa msichana ambaye amefanya mapenzi na wanaume tofauti?

Angalizo, Sijasema ni lazima kuoa bikira, ila ni mwanamke sahihi kwa wewe. Ametokea ni bikira, utamkataa kwa sababu hiyo?
 
ukimpata mwanamke bikra ni vizuri ukatangaza ndoa chap chap. hakuna tatizo.
 
Bikra sioi hata niambiwe napewa bure!!!
 
Binadam tunatofautiana linapokuja suala la mke au mume, wapo wanaopendelea mabikra na wengine wanapendelea wasio kwa maana wanakuwa wazoefu katika mapenzi huyo kaka atakuwa ni miongoni wanaopenda wasio bikra kwa interest zake.
 
hakuna cha bikira lazima ujue matatizo ya unaemuoa hayo mambo yamepitwa na wakati hata mm mtu akiniambia bikra kwanza tumalizane nione bikra na nijue madhaifu yake nikija kumuoa nakua nimeingia kiroho safi ....sasa we kaoe bikra then nenda nae ukute ana matatizo chungu tele ndo utaiona ndoa chungu na ndo mana cku hizi watu wanapiga mimba kabisa ndo waoe mambo ya kuoana then kushinda makanisani au msikitini au kwa sangoma kutafuta mtoto yanapoteza mda...mawazo yangu toa bikra mwenyewe kaa nae msome tabia yake na madhaifu yake huku na yeye akikusoma then malizaneni hayo mambo ya kuoa bikra mmh labda na wewe uwe bikra wote mkutane hamjui kitu
 
watu wana mawazo na mitazamo tofauti kwa sababu mbalimbali kama matukio ambayo yashawatokea au maneno ya kuambiwa na kadhalika.
 
Tatizo si usichana wake ila tatizo ni udanganyifu ulivyo kwa sasa. Zamani binti asipokutwa na bikira ilikuwa ni matatizo ila kwa mda huu imebaki jina
 
bikra baadae wanakua wasumbufu kwa sababu wanaanza hulka ya kutaka kuonja radha mbalimbali
 
ukioa bikra na wewe ukijua hujui mavituz siku ukitoka nje ukimpata anaejua utajutaaaa....utahamia nyumba ndogo....bora kuoa bikra huku wewe mwenyewe ukiwa mzoefu......mimi ukiniambia tu we bikra hata kama sio kuoana natoka baru mambo ya kupigwa kucha nishayachoka
 
bikra zinasumbua, tumeshazoea mabwawa ni rahisi kuvua samaki, radio sina, mapambio sijui, chumba changu hakina silingbody, unataka nijaze watu wanipeleke polisi kwa kubaka? mimi ntaoa mwanamke aliyeenda KM angalau kidogo si ambaye hajaenda kabisa.
 
Mtu anasema bikra sioi kwanza utampata wapi mwenye bikra?

Kwani wengine wanazipata wapi, au kuna miujiza ya kupata haya makitu. Mimi makumi mangapi sijui kila nikimpata nakuta High way non stop break kishindo.

 
Back
Top Bottom