Tatizo langu kubwa

Tatizo langu kubwa

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,040
Reaction score
4,449
Habari wakuu, mbona kila siku zinavyozidi kwenda naona uume wangu unapungua ukubwa, kengele nazo vikokwa vya ndani kama vimejibonda bonda nakingine zaidi shahawa zangu sasa zimekuwa nyepesi kama maji, lakini uume unafanya kazi nzuri sana, daaah sina matumaini tena na uwanaume wangu.

Nifanyaje wakuu?.
 
kwaiyo ntakuwa kwahali kama yakawaida mkuu ?
Yes mambo yatakua mazuri tuu usihofie pia inabidi ujiamini maana hofu ndo inaumiza yaani ukishajijengea dhana ya kwamba gegedo inakonda basi itakonda zaidi ya hapo. Wewe relax tu then fanya hayo nilokushauri na waliyokushauri wadau wengine mambo yatakua safii usiende kwa mganga boss
 
ok pw
 
Back
Top Bottom