lucious_lyon
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 246
- 290
hili ni tatizo la playstation kutokuwaka yani ukiiwasha inawaka taa nyekundu alafu njano alafu kijani inazima inarudi nyekundu, hapa kariakoo mafundi wanajua hilo tatizo kama yellow light.
Tatizo linakuja hapa, wanakwambia ukitoa mguu baada ya wao kutengeneza hawakupi gurantee kwamba umetokomeza tatizo, yani linaweza kujirudia hata baada ya dk 10 baada ya wao ku fix.
hii inamaanisha hakuna mjanja wa kutengeneza playstation iliokua na tatizo hilo, mafundi zaidi ya watatu wanaogopa hata kuishika, mwenye kujua jinsi ya kufix hili tatizo pls naomba msaada.
Santeni.