lugano GTB
Member
- Oct 23, 2020
- 89
- 140
Tangu Tv na mitandao ya kijamii iingie kila mpenzi wa mpira wa miguu ashakuwa kocha,mchambuzi au kiongozi wa mpira.Mtu ukiumwa unaenda kwa dakatari lakini inapotokea jambo linalohitaji utaalamu fulani mfano michezo,siasa,bisahra basi kila mtu ashakuwa na elimu ya kuelemisha wengi ndio wapenzi wa mpira wa Tanzania.JOTO LA JIWE ANALIJUA MJUSI sasa nyie woote mnayajua matatizo ya Yanga kuliko Viongozi wa Yanga wenyewe acheni hizo!