benja
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 331
- 230
Wadau nna tatizo. Ofisini internet ni ya Wireless lakini laptop yangu (sony) haishiki hiyo wireless. Cha ajabu nikiconnect na local area network inashika na nikiconect wireless ya simu (hotspot) inashika. Laptop yangu ina Operating Sytem ya Windows 10. naombeni msaada