Tatizo la WiFi kwenye iPhone naomba msaada

Tatizo la WiFi kwenye iPhone naomba msaada

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,421
Reaction score
3,053
Iphone 5s version 8.1.2 inagoma kuwaka Wi-Fi
 
Msaada mkuu mimi pia LG LTE F160 Imegoma kutoa hotspot. Nimekua nikiitumia siku nyingi ila imegoma ghafla lakini internet yake yenyewe iko vizuri tu issue kutoa wireless ndio shida.
 
Hili ni tatizo sugu kwa watu hasa tz!! Apple wamekuwa kwenye jali ngumu ya kujua ni kwanin!!!
 
Back
Top Bottom