Mkuu mm najua kama chuo, Wizara au mahoteli huwa wananunua internet unlimited yaani haina kikomo inategemea kwa mwezi, miezi 6 au mwaka, so wanaposema wanafanya hivyo wasiingie hasara haimake sense labda kama waseme watu watakua addicted na internet it means watakua wako byzy na internet sana na watawacha malengo yao yaliowapelekaEither wamelimit downloads au ina watu wengi wanatumia. Uwezekano mkubwa ni kwamba wamelimit downloads maana vyuo vingi na free wifi nyingi ndio huwa wanafanya hvo ili wasiingie hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
hawawezi weka unlimited chuoni, labda kama wamelewaMkuu mm najua kama chuo, Wizara au mahoteli huwa wananunua internet unlimited yaani haina kikomo inategemea kwa mwezi, miezi 6 au mwaka, so wanaposema wanafanya hivyo wasiingie hasara haimake sense labda kama waseme watu watakua addicted na internet it means watakua wako byzy na internet sana na watawacha malengo yao yaliowapeleka
Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?hawawezi weka unlimited chuoni, labda kama wamelewa.
hata hao provider kuna condition kibao, ikiwemo eneo unaloenda kuweka ni la namna gani, public au private. eneo kama chuo hawakuelewi.
tena taasisi zenyewe hizi za gavamenti
inaonekana kuna supper profit huko.Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?
India,1 GB = Tsh 200Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?
Sio zote. Wengine hawaweki unlimited kutokana na matumizi yao si makubwa.Mkuu mm najua kama chuo, Wizara au mahoteli huwa wananunua internet unlimited yaani haina kikomo inategemea kwa mwezi, miezi 6 au mwaka, so wanaposema wanafanya hivyo wasiingie hasara haimake sense labda kama waseme watu watakua addicted na internet it means watakua wako byzy na internet sana na watawacha malengo yao yaliowapeleka
Mm kinachonikera zaidi ni kwamba wanapandisha bei za vifurushi ila hawa improve internet yao. Tigo wanapandisha bei kila siku ila 4G yao bado ni mbovu, Airtel nao hvyo hvyo tu.Dahh, sjui kwann internet sikuizi imekua ghali sana kupita maelezo, wakati kitu internet ndio kilichotakiwa kuwa rahisi sana baada ya chakula kwa dunia ya sasa, mm nakumbuka mwaka 2012 kama sikosei, ilikua unaweza kujiunga kifurushi cha usiku 500 tu ukastreem net usiku mzima mpaka saa mbili asubuhi tena H+yenye kasi 7Mb/sec kipindi hicho, u nadowload movie yningi, au ndio ilikua kivutio cha wateja?
Inategema simu yako ina wifi ya toleo gani (802.11a or b or g or n or ac or ax), unatumia 2.4ghz or 5ghz mode na je simu yako ina za 1x1, 2x2 or 3x3. Vyote hvyo vina affect eficiency ya WiFi kutokana na simu yakoJe pia simu ina effect gan kwenye efficiency ya wifi
Unatumia simu ganiJe pia simu ina effect gan kwenye efficiency ya wifi
Na X za HD quality zenye Gb4 kwa X mojaTatizo mna download movies sana students
Ndio maana watu wao wana upload sana mitandaoniIndia,1 GB = Tsh 200