Tatizo la website ya TCU kutofunguka

Tatizo la website ya TCU kutofunguka

Hardman

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
750
Reaction score
526
habari za asubuhi wakuu...hili liwebsite la TCU mbona halifunguki ukizingatia applications zote ni online
http://www.tcu.go.tz/ wakuu kama kuna unachawi mwingine unatumika kufungua hii website tusaidiane..
 
Shouldn't you be calling tcu? Web ka haifunguki huku tutasaidiaje sasa lad?
 
habari za asubuhi wakuu...hili liwebsite la TCU mbona halifunguki ukizingatia applications zote ni online
http://www.tcu.go.tz/ wakuu kama kuna unachawi mwingine unatumika kufungua hii website tusaidiane..
Kweli kumekuwa na hili tatizo na nimewasiliana nao, wanasema shida ipo kwa internet provider TTCL. Lakini wanajitahidi kufix tatizo
 
Washafunga website
Tokea Jana,lakin wiki iliyopita kulikua na traffic kubwa sababu Ya pressure ya watu kufanya applications
Imeshafungwa Hiyo.
 
Agosti 31 ndio yenyewe niliongea na mhusika.
 
Back
Top Bottom