Tatizo la Watu kunitazama sana

Tatizo la Watu kunitazama sana

Isaya wa njombe

Senior Member
Joined
Apr 2, 2023
Posts
192
Reaction score
390
Niende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya

Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.

Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.

Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
 
Unajizungusha nini? We sema tu unataka kuwasimanga Wanayanga. Hakuna Cha jentlomani wala nini
 
Tuma picha kwanza tuone tatizo lipo wapi maana huku Tandale unaweza ukapishana na mama mkwe na msionane tulivyovurugwa na life.
Akituma picha nijuze mkuu, tutumie picha kaka hata nusu picha tukupe ushauri pengine wewe ni handsome sana.
 
Niende kwenye mda wakuu binafsi kuna mambo yananichanganya

Tangu nimefikisha umri wa miaka 34 nilinotice kitu huwa natizamwa sana na watu wazima mpaka vibibi kwa ujumla wamama watu wazma kwa upande wa wanaume sio sana yani naweza kuwa natembea njiani gafla utakuta kuna mmama ananiangalia yani nikama kuna kitu natembea nacho kiko usoni kwenye paji la uso mpaka naogopa.

Sio Mara moja nakuta natazamwa sana binafsi niko kawaida navaa ki gentleman sina mambo mengi, hapo umri huyo sina mke.

Mahusiano yangu huwa yanakufa mapema sana kila nikianzisha nilishaleta uzi hapa ila hili la kutizamwa ningekuwa maalufu sawa lkn mi lofa tu inakuwaje natizamwa non stop utafikiri kuna marudio ya USM Alger na young Africans?
Huenda unafanana na katuni.🙌😅
 
Umewahi kujinusa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom