Tatizo la waamuzi Africa limekosa tiba au ni udhaifu wa CAF

Tusemeni ukweli tuu, Afcon ya mwaka huu ilikua hovyo, waarabu wameonewa sana,,,fitina kama fitina 😁 kwanzia kwa egypt, Algeria, Comoro n.k
Niliangalia Mechi ya Pyramids na Mazembe, sikuona kama Pyramids walionewa; Mazembe walifunga mabao mazuri sana.
 
Kwa alie tazama mechi ya Mazembe na Rs Berkane kayaona nliyokua nasema
 
Mazembe wamefanyiwa figusu halafu yule mfungaji wa Berkane anashangilia kishoga kwa madharau
 
Kwa alie tazama mechi ya Mazembe na Rs Berkane kayaona nliyokua nasema
Halafu Simba SC wakifanya yao kwa Lupaso wanatokea wachambuzi wapumbavu na mashabiki wa Uto kupiga kelele..Pole sana Tp Mazembe.
 
Hij no 9 isomeke Orlando vs Simba ndio mechi ambayo ilikuwa na controversy decision hasa goli la orlando then VAR ikaja kuomekana dak 10 baadae
 
Kwa alie tazama mechi ya Mazembe na Rs Berkane kayaona nliyokua nasema

Berkane wamestahili ushindi, walichokifanya Senegal kwa egypt hamjacomplain, kwa mazembe mmeanza kulialia, malipo ni hapa hapa duniani. Uzuri mechi ya jana refa hakuegemea upande wowote, na zile tochi hazikuleta madhara yoyote.

Mazembe hawajui mpira, rafu sana, kulalama, fujo nyingi na ile red card usiseme wameonewa.
 
Mazembe wamefanyiwa figusu halafu yule mfungaji wa Berkane anashangilia kishoga kwa madharau

Ila nyie watu ni wonders sana, tp amezidiwa idara zote, kama uliangalia mpira jamaa walizidiwa sana angalia first and second half, in short Berkane amestahili ushindi.
 
africa kungekuwa na wamuuzi wasiokula rushwa wale simba hata makundi wasingeenda
bwana cresentus magoli atanielewa hapa
 
Jana mechi kati ya Rs Berkane na Absalimu imechezwa dakika 121 na haikua extra time yaani zimeongezwa dakika 20 mpka mwenyeji alipo pata goli ndio mechi ikaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…