Tatizo la umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAPAMBA, Nov 18, 2009.

 1. M

  MAPAMBA New Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sababu kubwa ya tatizo la umeme tanzania ni utaalamu? au sera ?mbona tatizo linajirudiaridia kama vile liko nje kabisa ya uwezo wa serikali yetu?ni jambo la kushangaza sana kuona viongozi wa serikali wanagiza mitambo iwashwe baada ya mgawo kuanza kukolea,je hatuna wataalamu Tanesco?hawakuona haja kuishauri serikali iwashe mitambo kabla ya mgawo?au ni ufisadi tu?
   
Loading...