Bombardear
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 241
- 193
Ni takribani zaidi ya wiki tatu umeme unasumbua mkoa wa kigoma na huku Tanesco ikishindwa kuwapatia taarifa sahihi wateja wake.Hivyo kupelekea baaadhi ya shughuli kusita.
Zamani tulikuwa tumezoea ikifika mwishoni mwa mwezi siku 2 au tatu mnapata shida ya umeme kutokana mafuta yanayotakiwa kuendesha mitambo yanakuwa hayajafika mkoani kigoma.
Hivyo kupelekea adha ya umeme kwa watumiaji.
Pia Tanesco mkoa wa kigoma sijui kuna tatizo gani kwani kuna mradi wa solar pannel umeanzishwa mimi sijui ni wa serikali au ni wa mtu binafsi au ni mabeberu ambao upo karibu na Airport Kigoma ambao nadhani una uwezo wa kuzalisha megawati 5 .
Hivi kwanini Tanesco inashindwa kutumia kutumia mradi huuu ili kupata umeme wa uhakika? matumizi ya mkoa wa kigoma wote hayazid megawat 4.
Au ndo biashara ya mafuta inaendelea ndo maaana mmenga'ng'ania majenereta.Tanesco mkoa wa kigoma mbadilike mnatutesa.