Tatizo la umeme mkoa wa Kigoma Serikali iangalie kwa jicho la pekee

Bombardear

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
241
193
Ni takribani zaidi ya wiki tatu umeme unasumbua mkoa wa kigoma na huku Tanesco ikishindwa kuwapatia taarifa sahihi wateja wake.Hivyo kupelekea baaadhi ya shughuli kusita.

Zamani tulikuwa tumezoea ikifika mwishoni mwa mwezi siku 2 au tatu mnapata shida ya umeme kutokana mafuta yanayotakiwa kuendesha mitambo yanakuwa hayajafika mkoani kigoma.

Hivyo kupelekea adha ya umeme kwa watumiaji.

Pia Tanesco mkoa wa kigoma sijui kuna tatizo gani kwani kuna mradi wa solar pannel umeanzishwa mimi sijui ni wa serikali au ni wa mtu binafsi au ni mabeberu ambao upo karibu na Airport Kigoma ambao nadhani una uwezo wa kuzalisha megawati 5 .

Hivi kwanini Tanesco inashindwa kutumia kutumia mradi huuu ili kupata umeme wa uhakika? matumizi ya mkoa wa kigoma wote hayazid megawat 4.

Au ndo biashara ya mafuta inaendelea ndo maaana mmenga'ng'ania majenereta.Tanesco mkoa wa kigoma mbadilike mnatutesa.
 
Ni takribani zaidi ya wiki tatu umeme unasumbua mkoa wa kigoma na huku Tanesco ikishindwa kuwapatia taarifa sahihi wateja wake.Hivyo kupelekea baaadhi ya shughuli kusita.Zamani tulikuwa tumezoea ikifika mwishoni mwa mwezi siku 2 au tatu mnapata shida ya umeme kutokana mafuta yanayotakiwa kuendesha mitambo yanakuwa hayajafika mkoani kigoma. Hivyo kupelekea adha ya umeme kwa watumiaji.Pia Tanesco mkoa wa kigoma sijui kuna tatizo gani kwani kuna mradi wa solar pannel umeanzishwa mimi sijui ni wa serikali au ni wa mtu binafsi au ni mabeberu ambao upo karibu na Airport Kigoma ambao nadhani una uwezo wa kuzalisha megawati 5 .Hivi kwanini Tanesco inashindwa kutumia kutumia mradi huuu ili kupata umeme wa uhakika? matumizi ya mkoa wa kigoma wote hayazid megawat 4. Au ndo biashara ya mafuta inaendelea ndo maaana mmenga'ng'ania majenereta.Tanesco mkoa wa kigoma mbadilike mnatutesa.
Zitto yuko busy na harakati za Chadema na Tundu Lisu!
 
Mbunge wenu yupo Ubeberuni Ulaya anazurula na Tundu Lissu kuchongea Nchi kwa Makabaila
 
Mpaka sasa ninavyoabdika kwa uchungu kabisa hakuna umeme tupo gizani


Poleni saana vinyozi wa kigoma
 
Siyo Umeme tu, Kigoma hamna barabara ya uhakika inayowaunganisha na mikoa mingine

Nchi nzima hii sasa imeunganisha na barabara nzuri za lami lakini Kigoma mkoa mkongwe na unachangia uchumi wa Taifa hili kwa kiwango kikubwa Duhu lami

Pazeni sauti zenu mnastahili kupata huduma hiyo muhimu tena kwa haraka sana

#Maendeleo hayana chama#
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom