Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,281
- 3,036
Sio Tecno tu.Mambo ya Tecno hayo
Nashukuru. Ngoja nifanye upembuzi yakinifu.Jaribu kujua siku ambapo ujumbe uliaza kutokea ulifanya nini,kama kuna software mpya uliiweka itoe then cheki kama ujumbe unakuja
Pole sanaWakuu habari.
Nina simujanja ambapo Kwa takribani siku ya tatu Leo, simu inaleta Ujumbe huu "unfortunately,process. android.acore.has stopped".
Nahitaji kujua chanzo cha Ujumbe huo, na pia nini cha kufanya.
SawaPole sana
Hayo ni masuala ya kitaalamu
nadhani kuna system files/drivers ambazo zime corrupt so kwa kuwa OS kazi yake ni kuangalia utendaji kazi ndo maana ikitokea failure inaleta syntax error
Peleka kwa fundi wakafanye hard reset