ninatumia tecno p5 ina tatizo moja kuna wakati nikitaka kutumia yanatokea matangzo mengi mar install hik bas ni sheed mpka nashindwa kuitumia wakt mwingne ina stack nifanyeji irud kwe hali yake ya kawaida
Poa! Shida yangu nyingine chif nahitaji kununua Laptop kwa kuedit video je ninunue yenye ukubwa gani(Processo)
nimeireset bado inarudia mambo yale yale je nifanyaje ili niweze kuroot
Bajet ni 800000/-
Jaribu kutumia kingroot au framaroot hizo ni apps ukigoogle utazipata
Chief, Nina shida Na tecno r5, iko slow kwenye net, pia Whatsapp inakataa Ku respond, nikitaka kudownload images lazima ni restart Simu.
Nimeshindwa Ku reset Kwa sababu password Inakataa, nimejaribu 1234 Na 0000 zote hazitaki.
Cha ajabu inapofikia kuweka password anasema confirm password kabla sijaweka password yoyote.
Nimedownload kingroot lakini sijui jinsi ya kuitumia.
Naomba msaada wako
Huwezi pata i7 quad kwa bei hio labda iwe used.
Kuna huyu jamaa anauza laptop ya zaidi ya milioni 3 kwa laki 7. Ina kila kitu ambacho mtengeneza video angeota kuwa nacho.
Ila bei ni ndogo kiasi kwamba huamini, nikiiangalia nasikia harufu ya utapeli, ila sio mbaya kumcheki ila kuwa makini sana
http://www.olx.co.tz/m/ad/macbook-p...ntel-core-i7-512gb-ssd-16gb-ram-ID15FU49.html
Kama utataka kwenda dukani strugle upate laptop yenye i5 inayoishiwa na m mbele kama vile
i5 4200m
i5 4300m
Hizi zinatumia hadi watts 35 hivyo zinaweza kukaa max clock kwa muda mrefu na kukusaidia wakati wa kurender video
I mean hiyo ya i5 4200m chief