Tatizo la storage space kwenye simu

Tatizo la storage space kwenye simu

Dah kwanza pole.

Pili taarifa.hiyo simu hata kwa elfu sabini hutakiwi kununua ni fake ambayo ni feki.

Kwa hela hiyo ungenunua hata huawei 530 au tecno h6.unge enjoy.

Ila ndio unajifunza lakini.
 
Dah kwanza pole.

Pili taarifa.hiyo simu hata kwa elfu sabini hutakiwi kununua ni fake ambayo ni feki.

Kwa hela hiyo ungenunua hata huawei 530 au tecno h6.unge enjoy.

Ila ndio unajifunza lakini.
Kweli mkuu asante
 
Hahahah umekubali kilaini hivyo mbona??....mtafute alokuona bwege umpe vitasa mpaka aseme nini hichi!??
 
Back
Top Bottom