Pc yako ina speaker? Drivers umeweka?Nawezaje kusolve tatizo la Sound out put kwenye PC
maana huwa inaniandikia hivi "No Sound Output Installed"
Msaada tafadhali
ndio spika zipo,nilifanya ku update window baada ya installation ndio haya yote yametokeaPc yako ina speaker? Drivers umeweka?
Jaribu ku right click Ki speaker pale Chini kitakupa option ya wapi sauti itoke
Hapo kwenye drivers sasa ndio sijajua mkuu,maana nimejaribu ku troubleshoot lakini wapi mkuuPc yako ina speaker? Drivers umeweka?
Jaribu ku right click Ki speaker pale Chini kitakupa option ya wapi sauti itoke