Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

Nilikuwa nayo yangu ilikuwa haikai na charge na pia ilikuwa inachemka sana hadi battery lilivimba
 
Tafuta a71 imekamilika kila idara ram igb rom 128gb 5G camera megapixels 64
Screenshot_20201121-112543_Settings.jpg
 
Sasa hiyo tecno ina quality gani? Hiyo mtk ndio inakupa raha? Au hiyo emmc storage? Kuna simu zenye quality lakin sio hyo tecno...

Jamaa kanunua refubished ndio kakutana na hayo majanga...ila s7 isiyo na shida inakaa vizur tu na charge

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app

jamaa kaamua ajifariji na Tecno yake dhidi ya S7 Mbovu
 
Natumia s7 kavu
Na s7 edge gb 128 duos

S7 kavu inakaa chaji masaa 17
Masaa 9 data on non stop na FHD

S7 edge gb 128 duos inakaaa chaji masaa 27
Ikiwa data on non stop Masaa 13 FHDMwambie huyoKweli kabisa mm nina s7 edge duos 8 akaa chji kinomaHiyo simu yako ya TECNO na yangu hii ninayotumia Samsung S7 edge duos gb 128 niki optmize mfno nikaweka HD displays background used apps Cpu speed limit nk
inauwezo wa kukaa 24 hours na data on hivyo ndugu usikalili na hapa ili ni toleo la 2017 old sana bado sijazungumzia matoleo ya miaka ya hivi karibuni ambayo yameiprove zaidi kwenye battery

Tukirudi kwa jamaa hapo tatizo siyo battery ni simu tafuta tu SAKITI nyingne hata ukiroot tatizo litakuwa vilevile
Nilikuwa na s7 kavu ilikuwa na wenge kama hilo nikauza tu kama kioo nikanunua nyingne ambayo ndo natumia sasa
Mkuu sakiti ndo mother board kama ni ivo na mimi naitaji msaada naipata wapi maana nina s7edge haipigi picha inasema camera failed.
 

Attachments

  • Screenshot_20201122-115148.png
    Screenshot_20201122-115148.png
    16.2 KB · Views: 19
jamaa kaamua ajifariji na Tecno yake dhidi ya S7 Mbovu
Mm nizipenda sana samsungu licha ya kuwa nyingine zina shita au changamoto tunakutana nazo lakni naombeni ushauli ninunie simu gani ambayo itanipa laha ahhana na tecno nataka sansungu kati ya s vs note maana hizi ndio samsungu kweli sio wanao ninia lisence na kujiita samsungu.
 
Mm nizipenda sana samsungu licha ya kuwa nyingine zina shita au changamoto tunakutana nazo lakni naombeni ushauli ninunie simu gani ambayo itanipa laha ahhana na tecno nataka sansungu kati ya s vs note maana hizi ndio samsungu kweli sio wanao ninia lisence na kujiita samsungu.
Alafu we jamaa acha kutufanyia maksudi humu jukwaani, ina maana haujui kuandika vizuri kweli au umechoshwa na hii tozo ya mambo ya luku na kadhalika
 
View attachment 1631094Galaxy s7 na s7 edge zina betri ya 3000mAh.

Ni betr ya kawaida sana hii. Kwamfano ukiangalia tecno povour 3Air ina betr ya 5000mAh ,ndio maana zinakaa sana na chaji mkuu.

Kwahyo sas unatakiwa uangalie namna yakumanage matumiz ya simu hiyo ,.imiwepo kutokuitumia wakat inacharge.

Ninayashuhudia haya maana hat mm ni mtumiaj wa galaxy s7 piah.

Kuna application itakusaidia kumanage matumiz ya charge kwa asilimia kadhaa inaitwa greenfyView attachment 1631098 hii huwa inafanyakazi yakuziweka app zote ambazo hauzitumii mkwa mda huo ili zisidrain charge .
Lakini utakuwa hupokei notifications kwa wakati mkuu.
 
Samsung s7 edge ni rejeta aina ya simu
Zinawah kuisha chaj
Kuchemsha
Kupata moto
Kupasuka kioo
Kutoa mstar
Kutoa vidot vyeusi

Chaji, Kutoa mstari ndio kawaida yake yaani s7 inamatatizo sana... samsheeps mnisamehe nasema ukweli

Haaf hizi si ndio zililipukaga au au sio
 
Samsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
Hhaha! Ni kweli,kwa kulinganisha Samsung wa changamoto kwenye betri (hii ni hoja ya jumla lakini, si kwamba kila simu yao imechoka). Ninadhani kuna shida na ubora wa bidhaa unahusika. Baadhi ya hizi bidhaa hasa hapa tz ni fake (si halisi) au duni (zimetengenezwa chini ya kiwango).Hii inaongeza ukubwa wa tatizo. Sisi nchi zetu ndo tunaonewa sana kwa tatizo hili. Si kwamba huko majuu hakuna hizi changamoto, bali kwa kulinganisha, kwetu tatizo ni kubwa mno. TBS ipo chini ya kiwango. Huwezi kuwauzia wazungu bidhaa hizi za kwetu ukadumu kihivyo kwenye soko. Nilinunua Galaxy S7 (binamu yake hiyo EDGE) Marekani. Nilikaa nayo miaka mitatu, kitu kiko bomba. Baada ya miaka hiyo mitatu ndo ikaanza kukimbiza chaji.

Kwahiyo, yapo matoleo ni mazuri tu hayana shida na mengine ni shida. Lakini, suala la ubora kulingana na simu imeuzwa wapi tusilipuuze. Huyu mtoa post anasema amebadili betri, sijui kainunua wapi betri. Kama ni kwa hawa wajanjawajanja wa bongo bado unaweza usione mabadiliko, huenda nazo ni zilezile tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom