Tatizo la remote control kwenye decoder za Azam

Super Tuesday

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
636
Reaction score
727
Wadau kwa siku za karibuni nimekuwa nikiona remote control za decoder za azam hazifanyi kazi vizuri yaani zinakataa kataa pale unapoielekeza remote kwenye decoder, mfano unapotazama tv ukitaka kubadili channel au kuongeza sauti, decoder inakuwa hairespond vizuri yaani inagoma goma. je kuna mtu yeyote ameona hilo tatizo? nimeona hili tatizo kwenye decoder 2 tofauti za azam.
 
Mimi nkitaka kubadili channel mfano kutafta channel ya nyuma naletewa ya mbele, nkipunguza sauti inaongeza..
 
Afu ukitumia remote ya Startimes dish inafunction vzur kabsa!
 
Do kaka hata mimi ni mhanga, hadi kwa sasa natumia dicodar direct mana remote mpya lakini iweka tofaut na ninachofanya
 
Do kaka hata mimi ni mhanga, hadi kwa sasa natumia dicodar direct mana remote mpya lakini iweka tofaut na ninachofanya
nashukuru kaka, nilidhani labda ni tatizo la remote yangu tu kumbe na wengine pia wanakabiliana nalo.
 
Kwa mtazamo wangu ukiangalia ubora wa ving'amuzi vya azam nadhani wanachukua quality ya chini mno ubora wa remote na ving'amuzi kwa ujumla sio mzuri lakini bado wanauza ghali mno...
 
startimes remote works with the azam decoder
 
startimes remote works with the azam decoder
Yeah but why azam are selling shitty remotes? I have like three of em one one column of button doesnt function ,bought another just died outright then the third one is a trickster. U command volume up i get opposite results or a channel function act as volume functin the only button that works as intended is power buton and a err.. battery cover yes battery you flip it open it flips open no monkeying but others parts? well u know the story!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo ni contract, kuna kampuni ya kichina inaitwa newland ndio wanatengeneza hizo decoder

newland C. S&T_DTV STB Solution

quality ya remote si nzuri kweli, kuna wakati zinajibonyeza zenyewe kwa kuongeza sauti au kubadili chanell.
 
Nilijua ni manangu kaharibu remote kumbe tuko wengi.

Ukiongeza sauti inabadili channel, ukipunguza sauti yenyewe inaongeza.

Tabu tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo ni contract, kuna kampuni ya kichina inaitwa newland ndio wanatengeneza hizo decoder

newland C. S&T_DTV STB Solution

quality ya remote si nzuri kweli, kuna wakati zinajibonyeza zenyewe kwa kuongeza sauti au kubadili chanell.
Hata dish,langu ile handle ya lnb imeoza kwa hiyo limejinyosha sipati signal tena jana nimewaita mafundi wanasema tulishushe ninue jingine yaani kila baada ya 2-3 yrs unanua dish jipya and decoder nayo nimebadilishiwa ya kwanza iliungua na kote huko unanunua upya atleast kwa decoder wali bi discount yaani unannua 3 month package ya juu or six months package ya chiini ila dish na remote full price

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi wanazouza kariakoo nahisi ni feki, na hasa dish zinaoza kwa kutu haraka sana.
Zile wanazouza ofisini kwao Tazara ni imara, dishi hazipati kutu.
 
Yaani Kwa hilo tatizo wengi linawakumba..Azam wamechemka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…