Yeye alishatamka hajaribiwi na anajiona yeye Mungu mtu na analolifanya yeye hataki mtanzania yeyote ahoji..........Sio kwamba ni mtu mbaya au ana nia mbaya ila tatizo lake sina uhakika anajua anachokifanya!!
Tatizo lake kubwa ni kuharibu mema aliyoyakuta! Kuwa mpya haimaniishi waliopita waliyotenda yote ni mabaya ila kuna mazuri
Tatizo lake ni pale anapoharibu yale mazuri aliyoyakuta kama vile
Mikopo ya elimu
Madawa hosp
Demokrasia
Uhuru wa habari
Ajira kila mwaka
Kupanda madaraja na mishahara
Angeweza kuwa bora na kuonekana bora sana kama angefanya anayoyafanya bila kuathiri aliyoyakuta
Sasa unapotfuta watumishi hewa huku hutki kuajiri na kupandisha watu madaraja hatuwez kuona umuhim wa kutoa watumishi hewa
Sasa unaponunua ndege ilihali watu wanakosa madawa hatuwez kuona kama kununua ndege kuna uhim
Sasa unapopunguza mishara ya wakubwa wakati ya wadogo inakushinda kupandisha hatuwez kukwelewa
Jpm acha kuharibu mazuri uliyoyakuta bali yaendeleze
Hivyo ndivyo typical dictators wanavyokuwa...Tatizo ninaliliona ni kwamba anaona ni yeye pekee mwenye uwezo wa uongozi
Sidhani anashaurika,wala kujua anaweza kufanya makosa
Mawaziri na viongozi wote serikalini wapo hapo kwa jili ya kutimiza matakwa yake tuu,hakuna. wa kumfunga paka kengele
Tatizo umezoea dili, kwa hiyo aendelee kuzurura, ahachane na wafanyakazi hewa watafune hela zetu, aliyekuambia serikali anaajiri wahitimu wote ni nani??? NAKUULIZA????? Kama tuna wahitimu ambao hawawezi kutumia ujuzi wao kupambana na mazingira wanayoishi wanasubiri ajira ya serikali! Maendeleo yatakuwa mbali sanaSio kwamba ni mtu mbaya au ana nia mbaya ila tatizo lake sina uhakika anajua anachokifanya. Tatizo lake kubwa ni kuharibu mema aliyoyakuta kuwa mapya, haimaniishi waliopita waliyotenda yote ni mabaya ila kuna mazuri.
Tatizo lake ni pale anapoharibu yale mazuri aliyoyakuta kama vile
Mikopo ya elimu
Madawa hospitalini
Demokrasia
Uhuru wa habari
Ajira kila mwaka
Kupanda madaraja na mishahara
Angeweza kuwa bora na kuonekana bora sana kama angefanya anayoyafanya bila kuathiri aliyoyakuta. Sasa unapotafuta watumishi hewa huku hutaki kuajiri na kupandisha watu madaraja hatuwezi kuona umuhimu wa kutoa watumishi hewa.
Sasa unaponunua ndege ilihali watu wanakosa madawa hatuwezi kuona kama kununua ndege kuna umuhimu. Sasa unapopunguza mishara ya wakubwa wakati ya wadogo inakushinda kupandisha hatuwezi kukuelewa.
Rais acha kuharibu mazuri uliyoyakuta bali yaendeleze.
Kwani mwaka huu imeajiri wangapi unaposema haiwezi kuajiri wote?Tatizo umezoea dili, kwa hiyo aendelee kuzurura, ahachane na wafanyakazi hewa watafune hela zetu, aliyekuambia serikali anaajiri wahitimu wote ni nani??? NAKUULIZA????? Kama tuna wahitimu ambao hawawezi kutumia ujuzi wao kupambana na mazingira wanayoishi wanasubiri ajira ya serikali! Maendeleo yatakuwa mbali sana