Mafundi wenzangu nimekutana na tatizo hili "protection" radio ni sony ukipachika umeme standby imetulia ila ukibonyeza power tu inataka kuwaka sekunde moja inakata kwenye display inakuandikia protection naomba msaada wenu nimecheki stk na regulator zote ziko poa aksante