Kwa wale wenzangu wa ku design kwenye Adobe.
Pale unapoingia katika Mini Bridge ukichagua picha inagoma pia inaleta maneno kama hivi.
Pia ukihamishia picha kwenye Sim ukitafuta kwenye Sim haionekani.
Msaada wakubwa.
Naleta uhitaji.
View attachment 1291791
Sent using
Jamii Forums mobile app