Richard deo
New Member
- Nov 21, 2017
- 4
- 0
Jamani nina pc yangu ambayo nimepewa na brother yangu na baada ya kuchukua nilifika nyumbani na baada ya muda nikaanza kutumia ila baadaye nilibanwa na shughuli kwa Wiki kama mbili na nilipo kuja kuitumia tena ikawa haiwaki na ikiwaka haioneshi maandishi so inaonesha mwanga mweupe alafu unakata then hakuna kinachoendelea bali huwa inajirudia tu
Naombeni msaada wa tatizo hili la PC yangu jamani
Naombeni msaada wa tatizo hili la PC yangu jamani