Tatizo la nishati ya mafuta nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la nishati ya mafuta nchini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IME, Nov 10, 2011.

 1. IME

  IME Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kwa siku za hivi karibuni, karibia kila siku kwa nama moja au njingine inaonesha kuna tatizo la nishati hiyo. Ninapata mashaka kidogo ninapowaona viongozi wanaohusika kwenye usimamizi na udhibiti wa nishati hii kuzuia na kukemea kwamba wanaotumia internet wanakuza mambo tofauti na hali ilivyo nchini! Wakati taarifa ya habari haijaisha wakaonesha mahari ambapo kuna ukosefu wa petrol, tena ndani ya Dar es Salaam. Siamini ukitenda kazi vyema kwamba utalaumiwa na watu wote.
   
Loading...