Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,042
Hivi hili tatizo ni la dunia nzima au Tanzania?.
Nauliza hivi kwa sababu nataka nijue kama hili tatizo hata huko dunia ya kwanza,ulaya,marekani,hilo tatizo ni kubwa kama ilivyo Tanzania.
Nijuavyo wazungu si watu wema,hasa kwa mwafrika,ila wanaishi na sisi kwa akili sana ili iwe kazi kuwajua kwamba hawatutaki kabisa duniani.
Na nashindwa kuelewa shida yao ni nini mpaka wanatamani hata kesho tuwe tumetokomea wote wafrika duniani? Rasimali za afrika?
Wanatumaliza ki-silence sana. Mababu zetu zamani walikuwa wanaishi miaka mpaka 90,80. Siku hizi ukifika 60 umejitahidi. Ila wao wazungu miaka 90 wengi ndio wanafia hapo kwa sasa.
Sasa uko hivi kwetu. Kuna magonjwa ya ajabu mengi siku hizi yako afrika,zamani hayakuwepo. Wametuletea mbolea za chumvi,kila sehemu zinatumika.
Huwezi kukwepa usile ugali,mchele,hata mboga mboga za majani wanapurizia dawa za kuua wadudu hata kwenye matunda hivyo hivyo.
Ndio utakutana na vijana wadogo tu hawana nguvu za kiume,kuumwa viuno,migongo,Enia n.k. Lakini wenyewe wazungu hata wakija huku hawatumii hivi vyakula. Je ulaya nako kuna shida hizi pia?