Tatizo la ngozi kusinyaa na kupauka

Tatizo la ngozi kusinyaa na kupauka

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
2,751
Reaction score
2,926
Habari zenu wana jamvi poleni na miangaiko ya kila siku s niende kwenye moja kwa moja

Nimekua muhanga wa ngozi kusinyaa na kupoteza mvuto yaani inapauka pauka kama kipindi cha balidi kipupwe sasa imekua to mach adi naogopa na sijui husababiswa na mini wenye ujuzi na wataalam was ngozi naomben msaad a dawa ya kutumia au tiba ya ngozi msaada wenu unaitajika
 
Back
Top Bottom