Tatizo la network ''IP address conflict'' nifanyaje?

africa6666

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
281
53
Salaam wana Jf, naomba kufahamishwa kukhusu hii kitu, kila nifunguapo PC yangu napata ujumbe huu "WINDOW HAS DETECTED AN IP ADDRESS CONFLICT another person in this network has the same IP address as this computer", je inawezekana jamaa amehack, na kama ndo hivyo ana acces kiasi gani na docs zangu? je natakiwa kufanya nini? naomba msaada
 
kuna mtu anatumia ip yako kupata internet! ushofu kuhusu documents zako ..
 
document zipo safe. inaonekana kuna ip zinaingiliana kama umeunganisha computer nyingi kwenye server moja..so tafuta ni computer ipi na ubadilishe
 
Kama uko kwenye internet kuna kirusi kinachofanya PC kadhaa kuwa DHCP server (server inayogawa IP address) na hivyo kufanya PC kadhaa kutoa IP address kwa PC zingine. Kwa kuwa address space ni moja (mfano: 192.168.1.0/24), basi inatokea IP address moja ikagawiwa kwa PC 2 tofauti. In this case,ur network admin is in a better position to resolve the matter(e.g. by checking with the Antivirus companies to see if there is a fix and then scanning). Kama network sio kubwa sana, unaweza assign IP addresses manually wakati unasubiri fix ya hicho kirusi. La sivyo baadhi ya users hawataweza kuaccess net.

Kama IP address umeweka manually (huna DHCP server), basi inawezekana kuna PC 2 umezipa IP address 1. In this case, just re-assign the addresses uniquely.
 
Kufanya nenda kwenye setting za ip address badilisha no hzo may be ip inaweza kuwa 10.0.8.20 sasa next inaweza kuwa 10.0.8.21
 
Je hamna hatari ya kuwa implicated kwenye wrong doing itakayofanywa na mtumiaji mwingine??
 
Hakuna risk kwa documents, hata kwenye wrong doing I.P sio rahisi ikakuimplicate kwasababu ni private network I.P, haitoki nje ya network yenu. Plus inabadilika kiurahisi, so haiwezi kutumika kama ID.

Inamaanisha PC zaidi ya moja zina I.P address sawa, kama mnaset I.P address manually ingia kwenye settings za Network adapter badilisha I.P, kama mna DHCP servers basi configuration haiko sawa kwenye servers.
 
lakini kang inategemea kama kuna foulder yoyote ambayo imekuwa sharing kwenye network,kama ipo yule mwinginw ataona na ku-edit if he want
 
lakini kang inategemea kama kuna foulder yoyote ambayo imekuwa sharing kwenye network,kama ipo yule mwinginw ataona na ku-edit if he want

Ni kweli ukishare inaonekana, itaonekana kwa kila mtu sio kwa unayefanana nae I.P. Kama IP zinafanana communication haita wezekana.
 
Salaam wana Jf, naomba kufahamishwa kukhusu hii kitu, kila nifunguapo PC yangu napata ujumbe huu "WINDOW HAS DETECTED AN IP ADDRESS CONFLICT another person in this network has the same IP address as this computer", je inawezekana jamaa amehack, na kama ndo hivyo ana acces kiasi gani na docs zangu? je natakiwa kufanya nini? naomba msaada

Kompyuta wote wana tofauti ip ya mahali.
Kwa sasa IP version 4 na hisa mdogo wa kutoa kwa ajili ya kompyuta yote kushikamana na mtandao.
Kwa kutatua tatizo hili njia baadhi ni umba, kama NAT, wakala.
Njia hizi ni kuutekeleza kwa kutoa hotuba IP baadhi itawasilishwa na moja tu anwani ya IP tu.
Kama ISP wako ni sawa, mtandao ip ni sawa kwa wote kompyuta. Kama ISP wako ni tofauti, mtandao ip pia anapata kutofautiana kutoka moja hadi nyingine. Kama unataka kuona ip anwani yako ya umma, kutumia Ip-details.com
 
Back
Top Bottom