Tatizo la mwanamke kiuno kuuma baada ya kusex

Nyanda lunduma

Senior Member
Apr 10, 2015
187
68
Habari ndugu zangu,

Ni siku nyingi sasa mke wangu kila tukifanya tendo la ndoa baada ya kumaliza kiuno chake huwa kinauma. Ni tatizo gani na nini solution ambayo inaweza kumsaidia aweze kuondokana na tatizo hilo.

Nawasilisha wana JF msaada kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende hospital aeleze anaeza saidiwa labda ana tatizo hasahasa haya magonjwa ya kike ....
Au umemgeuza mwenzio panga boi maana hamshindwi wanaume mnataka viuno feni akitoka kiuno chote nati zimetoka .... Punguza mkunja mwenzio ( joking)
 
Teh teh teh viuno feni.
 
Habari ndg zangu.
Ni siku nyingi sasa mke wangu kila tukifanya tendo la ndoa baada ya kumaliza kiuno chake huwa kinauma .
Ni tatizo gani na nini solution ambayo inaweza kumsaidia aweze kuondokana na tatizo hilo. Nawasilisha wana JF msaada kwenu :

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea na aina ya Mkuyenge / Uume kwani kuna mwingine ukimuingia tu Mbunyeni / Ukeni Mwanamke huenda ' Kugota ' mule ndani na ' Kukandamiza ' kabisa vilivyomo mule hadi kumpa maumivu makali utadhani ' nanga ' ya Meli ya Kigiriki ya Linea Messina imeshushwa majini ili Meli isimame.
 
kkkkkkkkk..
mpe namba zangu mkuu nimpe ushauri..
TOYOTA PREMIO T4....QV
ebu ipige kama TRA eh sorry TCRA kama hawajablock taarifa ya hii namba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu pole,, ushaur nenda hospital akapatiwe tiba...maumivu wakati au baada ya sex husababishwa namambo mengi sana mfano labda ana PID ( maambukizi ktk nyonga zake ).au IBS ,au endometriosis ...

Kwaufupi mwambie awahi mapema hospital.
 
Inategemea na aina ya Mkuyenge / Uume kwani kuna mwingine ukimuingia tu Mbunyeni / Ukeni Mwanamke huenda ' Kugota ' mule ndani na ' Kukandamiza ' kabisa vilivyomo mule hadi kumpa maumivu makali utadhani ' nanga ' ya Meli ya Kigiriki ya Linea Messina imeshushwa majini ili Meli isimame.
Hahahaaa.....umenikumbusha Linea Mesina, Sumana Naree..... enz hzo ni baharia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom