Tisha sanaMkuuu pole,, ushaur nenda hospital akapatiwe tiba...maumivu wakati au baada ya sex husababishwa namambo mengi sana mfano labda ana PID ( maambukizi ktk nyonga zake ).au IBS ,au endometriosis ...
Kwaufupi mwambie awahi mapema hospital.