Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

Nenda hospitali umweleze vizuri Daktari (pamoja na dawa ulizokwisha tumia). Utapata suluhisho. Zipo dawa aina mbalimbali kwa tatizo lako. Kila la heri!
 
Naomba ushauri wa kisayansi hapa, kama miaka mitatu iliyopita niliumwa UTI ikaambatana na muwasho ukeni lakini nikapewa dawa za kunywa na ya kupaka inaitwa DAKTARIN nikapona...lakini tangu siku hiyo muwasho umekuwa ukijirudia na kuondoka pindi nikiipaka daktarin na wakati mwingine nikijiangalia najikuta kuna kama viupele vidogo saanaaa kwa ndani kidogo manzoni mwa njia ya ukeni nikipima UTI sina na nikajaribu pia kupima STD"s pia sina.. Je nifanyeje mwenzenu????
Ningeoomba unitafute ili nione hivyo vipele vinafanana vipi ili nijue nitakusaidiaje....pole sana.
 
Pole sana. Kama unatumiaga kondomu achana nayo kwa kukubali kuolewa incase hujaolewa. Pia kula vitunguu saumu asubuhi na jioni ni dawa nzurui sana mrembo...pole sana..ikikupendeza nipm nikuelekeze zaidi.
 
pole sna dada yangu and shame on them wanaofanya jok kwenye matatizo ya wenzao.fuata ushauri uliopewa!
 
Wife wangu analalamika anawashwa sana kila nnapopiga bao, yaani spam zinamuwasha sana, hivi tatizo litakuwa ni nini? Maana huwa anapigakelele sana za kuwashwa. Naombeni mnisaidie.
 
Itakuwa kweli ni fungus na ni lazima mtibiwe wote wawili kwani tiba yake hutolewa kama ya ugonjwa wa zinaa. Chamsingi uangalie mazingira ya choo sehemu mnapoishi au mnapofanyia kazi. Kutokana na maumbile yao, wanawake huathiriwa kiurahisi sana na fungus kama mazingira ya choo hayaridhishi kwa maana ya kuwa shimo moja (hata kama ni la ku-flash kwa maji) hutumika na watu wengi
 
wife wangu analalamika anawashwa sana kila nnapopiga bao, yaani spam zinamuwasha sana......hivi tatizo litakuwa ni nini?maana huwa anapigakelele sana za kuwashwa. naombeni mnisaidie.

Mkuu, poleni sana! Jibu maswali yafuatayo:

1: Je , mke anapata muwasho au maumivu? @ anapiga kelele sana!
2: Tatizo limeanza lini?
3: is there any vaginal discharge?
 
Nashukuru sana wadau, namie ninatatizo la kuwashwa uume tena mbaya zaidi kwandani. Nilipo fuatilia nikakuta girl wangu anafungus, sasa sijui dawa zipi naweza tumia ili kutibu tatizo, nimetumia powder ya kuua candids lakini bado mrija wa mkojo unawasha nakosa amani kabisa. Hivi kunavidonge vya fungus? vinaitwaje ili nikanunue maana mmh, raha sina kabisa moyoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom