Asante kwa ushauri mkuu nitazingatiaKamua ndimu tatu kwenye glass yenye maji, kunywa asubuhi kabla hujala chochote na jioni baada ya kula, jizoeshe kutafuna tangawizi mara kwa mara au kitunguu swaumu japo punje tatu.
Kiufupi magonjwa yote husababishwa na mucus ambao hutokea baada ya mwili kujaa toxin mbalimbali.
Fanya detoxification either kwa kufunga au kureplace chakula kwa matunda au kuruka milo (intermittent fasting) ikiambatana na hivyo viungo dawa japo juu.
Wiki mbili nyingi
Asante sana mkuuTafuna tangawizi na kitunguu swaum Kila siku asubuh na jioni , iyo Hali itaisha mkuu , ukihisi unawashwa sana unapozea na asali mkuu ,tatizo litaisha
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu tabia hiyo sinaIla ndio uache kuzama chumvini mkuu , sio salama Kwa afya
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Huwa unanyonya mbususu?Asante mkuu kwa ushauri
Mmmmmm, what if ni kansa, miaka mitano ni mingi sanaAsante sana mkuu
Labda nijibu maswali yako...
Swali la (1)
Nimekuwa na tatizo takribani miaka mi tano sasa.
Swali la (2)
Makohozi yana rangi ya njano muda mwingine meupe yenye chembe chembe ya vijiwe vidogo sana
Mucus ya kooni inaitwa diphtheria je umesha pona hiyo Mucus ya kooni Mkuu?Wakuu habari ...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.
Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.
Lakini bado tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.
Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Kama bado hujapona hiyo mucu ya kooni aka diphtheria nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Bado mkuu
Hapo makaburini sipo ungeenda Selian wangekusaidia.Kaloleni Arusha mkuu